Wengi uangalia video kwenye mtandao wa kijamii Youtube lakini uvutiwa na baadhi ya video na ushindwa kuzidowanload(kuzitoa kwenye mtandao)
Kuna njia nyingi za kupata hizo video lakini me ntakupa njia rahisi. Na pia ntakupa na Link ya kukuelekeza kwa kutumia video.
1. Fungua youtube ukatafuta ile video unataka kuchukua fanya kuongeza ss kwenye link yake.
mfano:
Link ya video inayocheza hiko kama:
Link ya video inayocheza hiko kama:
2. ongeza ss kwenye link kama hivi:
angalia kwa makini nlivoongeza ss hapo juu.
then Enter.
itafungua website kama hivi kisha uchague Download
utakuwa umemaliza zoezi ukisha bofya Download na ukaina video imeanza kudownload.
Lakini pia kuna njia nyingine ya kudownload ambayo unaweza kucopy link ukaipaste kwenye website kama hiyo.
fanya kuangalia kwa kubofya kwenye hii link hapa chini:
pia unaweza kutoa maoni kwa comments.
Jinsi ya kudownload video kutoka youtube
Reviewed by Unknown
on
8:37 AM
Rating:
No comments: